Chokora
Maboxini, Mombasa (KENYA)
Chokora
Jina langu ni chokora, / My name is Chokora.
kazi yangu ni kuiba. / my business is stealing.
Mimi ni chafu, mimi ni mbaya, / I am dirty, I am bad,
ni hivyo watu wanasema. / people are saying.
Polisi wamenishika, / The police arrests me,
wamenipeleka jela. / taken me to prison.
Wamenichapa, wamenicheka, / The beat me, they laugh at me,
wameniitwa chokora. / they call me Chokora.
Na kama mimi ni mgojwa, / Once I am ill,
hakuna mtu anajali. / there´s nobody who cares.
Naskia uchungu, sina dawa, / I am in pain, I have no medecine.
lakini mungu ameniokoa. / But god saves me.
Kila siku naomba kwa mungu, / Every day i pray to god,
kwa sababu nina ndoto. / ´cause I have a dream,
Kutoka mitaani, kupata nyumbani, / getting away from the street,
kuishi na amani. / finding a home, living in peace.
swahili songtext: Magdalena & Almut
*Chokora (swahili)=abusive word for street kid
|
kidogo Valentino + Laire |
|
Kamau |