Chokora
Maboxini, Mombasa (KENYA)

Chokora

Jina langu ni chokora,   /   My name is Chokora.
kazi yangu ni kuiba.   /   my business is stealing.
Mimi ni chafu, mimi ni mbaya,   /   I am dirty, I am bad,
ni hivyo watu wanasema.   /   people are saying.
  
Polisi wamenishika,    /   The police arrests me,
wamenipeleka jela.   /   taken me to prison.
Wamenichapa, wamenicheka,   /   The beat me, they laugh at me,
wameniitwa chokora.   /   they call me Chokora.

Na kama mimi ni mgojwa,   /   Once I am ill,
hakuna mtu anajali.   /   there´s nobody who cares.
Naskia uchungu, sina dawa,   /   I am in pain, I have no medecine.
lakini mungu ameniokoa.   /   But god saves me.

Kila siku naomba kwa mungu,   /   Every day i pray to god,
kwa sababu nina ndoto.   /   ´cause I have a dream,
Kutoka mitaani, kupata nyumbani,   /   getting away from the street,
kuishi na amani.   /   finding a home, living in peace.


swahili songtext: Magdalena & Almut
*Chokora (swahili)=abusive word for street kid


kidogo Valentino + Laire






Kamau